Mshtuko. Kuchanganyikiwa. Kutoamini. Hizi ni baadhi ya hisia miongoni mashabiki wa muziki wakati Salif Keïta - anayejulikana kama Sauti ya Dhahabu ya Afrika - alipoteuliwa kuwa mshauri maalumu wa ...